Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,655
- 112,489
Mimi ninaposhi siku hizi umeme lazima ukatike mara 3 kwa siku, kwahiyo sioni tija yoyote mpya ya Tanesco zaidi ya maziongaombwe tu.
Umeona mkuu! Halafu nashangaa kuna minjemba humu inashabikia eti hatua nzuri. Hatua nzuri na wakati mgao unaendelea na Watanzania tunahangaika Kama watoto yatima! Tanesco yote inatakiwa kuvunjwa..imeshaliwa na mchwa haiwezi kukarabatiwa Ivunjwe tu.Mimi ninaposhi siku hizi umeme lazima ukatike mara 3 kwa siku, kwahiyo sioni tija yoyote mpya ya Tanesco zaidi ya maziongaombwe tu.
Ngeleja ataunganishwa kwenye hii kesi?
Kweli hizi kesi hazina manufaa. Bora wangetimuliwa waende home tu wakapumzike.
Lakini wengine humu wangelalamika why hawajapelekewa mahakamani!