26th African Union Summit: Mugabe atema cheche

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
7,290
2,000
Afya ya Mugabe haipo sawa kwa sasa mara ya mwisho kikao cha UN alitoka mapema tuu huku akitaka kuanguka...
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,256
2,000
Mbona video haiishi? Hili zee jeuri yaani linajilinganisha na Super power? hivi akiambiwa achangie bajeti ya UN kwa usd Trillion Moja ataweza? nchi kibao zilikubali kutokuwa Super Power uchumi mgumu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom