Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Habari ya wana JF.
Natumai wkend ImeishA salama na tAyar kwa Shughuli za wk kuanza.
Ningependa kushare nanyi hii habari ya "Jinsi gani wenzetu wanavyoheshim upatikanaji habari kiasi chA kupelekea Internet kuwa sawa na Bure"
Nilikuwa nikichat na mmoja kati ya jamaa zangu waliolowea kwa Obama. Akanitonya kuwa huko Ishu ya Bundle sio Issue hata kidogo.
Akanambia yy subscription yake kwa Mwezi hununua 250GB kwa kiasi cha $60 tu mwezi Mzima kwa ajili ya kuperezu na kuangalia Movie kwenye Streaming TV Box and playing Online games..
Sasa je! Kwa hapa Bongo kamA 1GB ni sawa na 15,000 je hizo 250GB ungezinunua kwa Bei ani!??? It's Obviously kwamba
GharamA za net hapA Bongo bado haziko katika Kumsaidia Mbongo katika Kupata wigo Mpana wa habar.
Kama wenzetu wanauziwa 1GB kwa Tsh400, kwa nn hapa kwetu ishindikane ili hali Mkonga wa Simu ushapunguza gharama tayar!???
Naomba niachie hapa, wapite tena wengine ambao wanataka yafanyike marekebisho/mapinduzi ktk vwango vya gharama za Internet.
Asante.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums