Ayatolaalikhaminey
Member
- Apr 16, 2018
- 28
- 116
Ijumaa Kareem Viongozi,
Technologia imekuwa kubwa nahofia kununua famba(fake). Kwa wataalam,simu gani ina afadhali kidogo kwa hiyo pesa? Kuna zingine ukitoka tu nje ya mji net work inakata,ikae na chaji ata kama ni siku 1,ubora wa picha pia.
Napendelea Sumsang ila sina uelewa zaidi,ipi sio fake,ipi ni reasonable kwa hiyo bei,kama kuna brand nyingine pia i can change mtazamo wangu
Nipo mbulu-Manyara.
Thank you in advance for your time and advice.