sijaelewa kitu, sijui ndo huu umaimuna
kuna kitu kinaitwa brute force hii ni aina ya kizamani ya kuhack kwa kuguess password.
Kuna software kama brutus ambazo hurahisisha hayo mambo.
Kabla ya kuanza kuguess password kuna password common kama alizotaja nurbert ambazo hacker anaanza nazo.
So hio ni kama thread inayotaja hizo password na hata apa jf wapo watu kibao wanazitumia incase akija anonymous mmoja humu ujue hawaponi.
Haha... Anonymos wasinge kuacha ww...
mkuu wewe pasword ya kwanza ulianza na micombination ya kutisha?? me wala sikua na tabu hiyo ndo nlikua naikumbuka, lakini sasa combination ya password yangu ya yahuu ina 5*
teh teh, ni ya mhusika mkuu nini?nlishawah kumfungulia mtu email na password namba 11
teh teh, ni ya mhusika mkuu nini?
Kaka siri zipo kwa baadhi wenye uwezo wa kununua device na software za kuongeza security.Kampuni nyingi hazina uwezo wa kununua vitu hivyo,nitakupa mfano wengi wanaingia kwenye network za kampuni zao kwa kutumia password tu('what you know').Kuna kampuni ambazo ziko serious na security wanatumia more advanced security ukiacha biometry("who you are" vitu kama finger scan,iris scan,palm scan)wanatumia kitu kinachofanya kazi kama kadi ta ATM,unakuwa na kadi na password.kwenye internet hakuna siri habari ndiyo hiyo....hasa wakijua IP anuani ndio kabisaaa upo ' Uchi '........Nothing will hapen immediatly
nilianza naqwerty, hivi sasa ni bonge la tusi yaani huwezi kuthubutu........
Kaka siri zipo kwa baadhi wenye uwezo wa kununua device na software za kuongeza security.Kampuni nyingi hazina uwezo wa kununua vitu hivyo,nitakupa mfano wengi wanaingia kwenye network za kampuni zao kwa kutumia password tu('what you know').Kuna kampuni ambazo ziko serious na security wanatumia more advanced security ukiacha biometry("who you are" vitu kama finger scan,iris scan,palm scan)wanatumia kitu kinachofanya kazi kama kadi ta ATM,unakuwa na kadi na password.
User anapewa token ambayo inakuwa ina random numbers zinabadilika kila baada ya say 60sec,ili kulogin unaweka number ambayo haibadiliki(inakuwa ni siri yako) ikifuatiwa na number zinazo onekana kwenye token yako kwa muda ule.Then unapata access,ila watu wengi 'security hawaijui' password zao ni kama
123456,juna la mpenzi wake,tarehe yake ya kuzaliwa,kijiji anachotoka,jina la mtoto wake kipenzi n.k
Kwa sababu security ni gharama na wanaotoa pesa wengi hawajui umuhimu wa security ktk network zao,basi watu wa IT wanafanya kulingana na budget iliyopo.
Check info about how RADIUS protocol works,you can get something.
Kaka usemayo ni ya kumchewesha mwizi tu ni kama vile umeweka mageti mengi mlangoni Mwizi asiingie ndani lakini akipata muda wa kubomoa anaingiBado nasisitiza kwenye Net hakuna Siri ni swala la language gani na Code tu.......
MFALME JUHA YUKO UCHI NANI KAMUONA?