25 worst password of 2012

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,887
427
et hz ndo worst pasword wanazotumia many userz hasa kwenye mitandao.....

n.JPG

# Password --- Change from 2011
1 password _____________ Unchanged
2 123456 _______________ Unchanged
3 12345678 _____________ Unchanged
4 abc123 _______________ Up 1
5 qwerty ________________ Down 1
6 monkey _______________ Unchanged
7 letmein ______________Up 1
8 dragon _______________ Up 2
9 111111 _______________ Up 3
10 baseball _______________ Up 1
11 iloveyou ______________ Up 2
12 trustno1 _____________ Down 3
13 1234567 _______________Down 6
14 sunshine _______________ Up 1
15 master ______________ Down 1
16 123123 ______________ Up 4
17 welcome ___________ New
18 shadow ___________Up 1
19 ashley ____________Down 3
20 football___________ Up 5
21 jesus ____________ New
22 michael _____________ Up 2
23 ninja -------- New
24 mustang------- New
25 password1-------- New

Via splash data
 
sijaelewa kitu, sijui ndo huu umaimuna

kuna kitu kinaitwa brute force hii ni aina ya kizamani ya kuhack kwa kuguess password.

Kuna software kama brutus ambazo hurahisisha hayo mambo.

Kabla ya kuanza kuguess password kuna password common kama alizotaja nurbert ambazo hacker anaanza nazo.

So hio ni kama thread inayotaja hizo password na hata apa jf wapo watu kibao wanazitumia incase akija anonymous mmoja humu ujue hawaponi.
 
Umenifumbua macho mkuu, mie kwenye teknolojia hiyo ni mtupu sana
 
aisee hapo penye 123456 miaka ile naanza kufubgua E-mail ndo palikua penyewe
 
Haha... Anonymos wasinge kuacha ww...

mkuu wewe pasword ya kwanza ulianza na micombination ya kutisha?? me wala sikua na tabu hiyo ndo nlikua naikumbuka, lakini sasa combination ya password yangu ya yahuu ina 5*
 
Haha mm nliweka jna la kaka angu.. Na hakujuaa nmekuja kubadili 2010 aliposhtukia mchezo... Then kwasasa bado sio 5 star but huwezi kui guess coz ni sentensi
 
kwenye internet hakuna siri habari ndiyo hiyo....hasa wakijua IP anuani ndio kabisaaa upo ' Uchi '........Nothing will hapen immediatly
 
Kaka siri zipo kwa baadhi wenye uwezo wa kununua device na software za kuongeza security.Kampuni nyingi hazina uwezo wa kununua vitu hivyo,nitakupa mfano wengi wanaingia kwenye network za kampuni zao kwa kutumia password tu('what you know').Kuna kampuni ambazo ziko serious na security wanatumia more advanced security ukiacha biometry("who you are" vitu kama finger scan,iris scan,palm scan)wanatumia kitu kinachofanya kazi kama kadi ta ATM,unakuwa na kadi na password.
User anapewa token ambayo inakuwa ina random numbers zinabadilika kila baada ya say 60sec,ili kulogin unaweka number ambayo haibadiliki(inakuwa ni siri yako) ikifuatiwa na number zinazo onekana kwenye token yako kwa muda ule.Then unapata access,ila watu wengi 'security hawaijui' password zao ni kama
123456,juna la mpenzi wake,tarehe yake ya kuzaliwa,kijiji anachotoka,jina la mtoto wake kipenzi n.k
Kwa sababu security ni gharama na wanaotoa pesa wengi hawajui umuhimu wa security ktk network zao,basi watu wa IT wanafanya kulingana na budget iliyopo.
Check info about how RADIUS protocol works,you can get something.
 
Mimi nilipoanza nilianza na ile ambayo ukifungua "HELP CENTER" katika topic ya "KU- CREATE A STRONG PASSWORD" wanakuonyesha kama ni ya mfano.
Nilipokuwa na uzoefu nikaanza na na hizi kisSm0„6@$$ na zenye kufanana na hizo!!
CHONDE CHONDE MUSIJE HACK MY JF ACCOUNT, PASSWORD NI SENTENSI YA MATUSI. USIJE UKANILAUMU, KAZI KWENU.
 
nilianza naqwerty, hivi sasa ni bonge la tusi yaani huwezi kuthubutu........
 
Kaka usemayo ni ya kumchewesha mwizi tu ni kama vile umeweka mageti mengi mlangoni Mwizi asiingie ndani lakini akipata muda wa kubomoa anaingiBado nasisitiza kwenye Net hakuna Siri ni swala la language gani na Code tu.......

MFALME JUHA YUKO UCHI NANI KAMUONA?
Kaka siri zipo kwa baadhi wenye uwezo wa kununua device na software za kuongeza security.Kampuni nyingi hazina uwezo wa kununua vitu hivyo,nitakupa mfano wengi wanaingia kwenye network za kampuni zao kwa kutumia password tu('what you know').Kuna kampuni ambazo ziko serious na security wanatumia more advanced security ukiacha biometry("who you are" vitu kama finger scan,iris scan,palm scan)wanatumia kitu kinachofanya kazi kama kadi ta ATM,unakuwa na kadi na password.
User anapewa token ambayo inakuwa ina random numbers zinabadilika kila baada ya say 60sec,ili kulogin unaweka number ambayo haibadiliki(inakuwa ni siri yako) ikifuatiwa na number zinazo onekana kwenye token yako kwa muda ule.Then unapata access,ila watu wengi 'security hawaijui' password zao ni kama
123456,juna la mpenzi wake,tarehe yake ya kuzaliwa,kijiji anachotoka,jina la mtoto wake kipenzi n.k
Kwa sababu security ni gharama na wanaotoa pesa wengi hawajui umuhimu wa security ktk network zao,basi watu wa IT wanafanya kulingana na budget iliyopo.
Check info about how RADIUS protocol works,you can get something.
 
Kaka usemayo ni ya kumchewesha mwizi tu ni kama vile umeweka mageti mengi mlangoni Mwizi asiingie ndani lakini akipata muda wa kubomoa anaingiBado nasisitiza kwenye Net hakuna Siri ni swala la language gani na Code tu.......

MFALME JUHA YUKO UCHI NANI KAMUONA?

Of-course in a long run uko sahihi.Hakuna total security ila ugumu wa kubypass system au software unatofautia kutoka moja mpaka nyingine kwa wakati husika.Much appreciation.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom