24 new season releasd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

24 new season releasd?

Discussion in 'Entertainment' started by luvcyna, Dec 26, 2011.

 1. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  habari zenu wandugu poleni na pilikapilika za xmas, naombeni kujua kama 24 wamesharelease new season katika series yao as nimekuwa nikiona advertisements ITV abt the coming 24 ambayo binafsi hizo highlights sijawahi ziona katika 24 zote nilizozitizama.
  Nawasilisha
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nimesoma kwenye wall yao facebook,wamesema soon january mkuu!!!
   
 3. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  thanks but nahisi itakuwa ishaanza kusambazwa,pia kuna watu huwa wanaipata kwa ku download freely sijajua thru wat link..,

  nahisi ishatoka as nashindwa kuelewa ITV wamepataje hizo highlights!! thts means tayari wanayo
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  season finale?!hebu cheki hii avatar yangu kama uliwahi kumuona jack bauer akiwa kwenye hilo vazi?labda tuanzie hapo kwanza.
   
 5. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  yap ni katika latest season nliyoiona alipoamua kuvalia njuga masnich walioshiriki kumpoteza renee walker
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  God! niko so behind time that things are passing by kwa kasi ya ajabu.... Are you certain kweli new series yaja ama tu ni rumors?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Katika wanawake woote ambao walikua wapenzi wa beur I loved Renee Most.... Iliniuma kifo chake, ilibidi niahirishe watching mpaka a few hours later.... The second woman nilipenda ni dada alokua nae mafichoni (on his supposed death): Ile ndo my most favourite season of the series.... As much as kifo cha Palmer kiliniumiza.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  'chloe O'Brien alitweetigi kwamba last season was season's finale. Sijui labda za china zinakuja season mpya u can not know what to expect..nlishaskiaga kwamba producers wa 24 wako kwene 'Homeland'.
   
 9. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Asha for sure huwa najuta kutokuiona hiyo season ambayo palmer alifariki tafadhali nijuze ni season ya ngapi walau nikajigange kabla hiyo new season haijazagaa mitaani
   
 10. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ilikuwa ni lugha ya kimarket zaidi mkuu ili kutupa tention pindi tutakapoambiwa nyingine imetoka wakati tulishaambiwa iliyopita ni season's finale
   
 11. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  sio mwendelezo wa 24 wakuu! Ni series mpya imechenzwa na Jack Bouer pamoja na baadhi ya mastaa wa 24,itatoka january ka sikosei....
   
 12. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  kuna ukweli kiasi fulani katika hilo mkuu,.. naomba utujuze watatumia jina gani nw mbona wanaitangaza kwa kutumia jina la 24
  nimejaribu na mie kupitia hapa nkakutana na hii.... Finally! 24 Movie To Start Shooting Next Spring With Script From THE WOLVERINE Writer

  nadhani itakuwa kiboko ila walijaribu kuongelea abt hamu ya watu kutaka kujua mwisho wa story ya jack b na yule rais wa urusi sa sijui ndo itakuwaje, au ndo wataunganshia kwenye hiyo mpya!
   
 13. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  mkuu msaada tafadhali ashadii kanilia ganzi naomba nijuze palmer aliangamia kwenye season ipi nikaisake mkuu
   
 14. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  subiri nizipitie ntakujibu mkuu,but i think ni kati ya tano na nne hiv...
   
 15. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Nakaribia kuelewa kitu hapa,kumbe hii inayokuja ni movie na siyo series but jina ni lilelile pia characters wanatumia majina yaleyale kuna hili tangazo lao hapa.. 24 RETURNS IN 2012 - YouTube


   
 16. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Wee Luvcyna how do you watch your series? Mie hata nikiangalia lets say 1 & 2 ikaja 4 na hali 3 sijaangalia.... Sikugusi kabisa!

  Hio ya Jack kua mafichoni ni season # 5 (kafa in the 1st episode of the season); Napenda this episode because


  1. Inaonesha the way politics ni Chafu! Na the way mwananchi wa kawaida aweza kua chambo cha wakubwa.
  2. Ujio wa Jack baada ya kuonesha kifo chake - His tactics, ubishi, akili, ujanja, na most of all Patriotism na how a good friend he is kwa watu wake.
  3. Opening scene ya Chloe (kwamba hata yeye uhitaji sex once in a while).
  4. Nafasi ya mwanake upande wa First Lady na the power aweza kua nayo dhidi ya the hubby (if not careful)
  5. The demise of Logan na part alocheza the 1st President dhidi ya his down fall....
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  we luvcyna naona unachanganya madesa.angalia isije ikawa series za kichina!
   
Loading...