2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

huyu Roma anataka sifa za kijinga sana sana....me pia sijawahi one kitu kipya kwake zaidi ya theme ile ile na kutaja majina ya watu maharufu apate sifa za kizushi! kwani nyimbo haiewezi kuhit bila kumtaja riz, jk au slaa?? mbona hamtaji Slaa anayechukua wake za watu au Mbowe aliyemjaza mimba mwanachama wa chadema? au yule boya wa Mwanga aliyebaka mtoto wa miaka 17 mbona hawataji humo???? dogo atapotezwa sana yani kawasema vibaya sana waislamu ngoja wazee wa uamsho wampate
Sasa si uimbi na wewe ili uwataje ambao Roma haja wataja..Waislam kawaambia ukweli na waislam wenye akili timamu wakiusikiliza huu wimbo hakika hawawezi kumchukia Roma...nina siku kama ya kumi naurudia huu wimbo kwa siku huwa nausikiliza zaidi ya mara tatu hakika roma kaongea ukweli..acha chuki au huja usikiliza vizuri..
 
stail yake ya wavuta bangi..its not hip hop anayoifanya huyo mvuta bangi ni makelele tu kama ya kichaa
Hivi unajua bangi baadhi ya mikoa ni mboga kama mchicha tu..nimekwambia kama kuna watu haja wasema na wewe unataka awaseme, mpelekee hayo majina komba au Vicky Kamata akawachane mbona simple tu mkuu..kama anatumia bangi na anaendesha maisha yake haji kukuomba unga ina kuuma nini? na siyo lazima wewe umkubali lakini wengi wana mkubali mfano hapa Arusha ukipiga wimbo wake wa Mathematics watu ni mzuka mwanzo mwisho kwa huu mpya sipati picha...
 
Pole sana kwa mawazo yako ya kibaguzi!kwa taarifa yako ROMA ni Muislam na R.O.M.A ni kifupi cha jina lake na ndugu zake

R.O.M.A

R-Stand for Rythim
O-Stand for Of
M-Stand for Magic
A-Stand for Attraction
 
Wimbo ni mkali,na uendelee kupigwa maredion kwakuwa kinachoimbwa ni maisha halisi ya mtanzania..wao wanachotaka ni msanii kutumia "TAFSIDA" wakati kuna watu hawajui kufafanua tafsida ROMA kawatoa watu kwenye ulimwengu wa kufahamu kinachoendelea hapa Tz tena katika nyimbo zake zote hajatumia tafsida,big up tunaendelea kujua mengi kupitia Roma.
 
"Tanzania tuna uoga sio amani tunadanganywa" moja ya ryme kwenye wimbo huu nawe unayeshabikia wimbo ufungwe una uoga bado hujapata "UHURU"
 
Haitakua fair wakiifungia








Isikilize hapa:
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=77912&d=1357126820[/JFMP3][/QUOTE]
 
Tupia shairi hizo mwana!

Song: Wazo La Leo
Artist: Stamina Feat Fid Q
Studio: Bongo Records
Producer: P funk Majani
Song Writters: Stamina (verses) & Fid Q (chorus)

Intro...
U know what majani??nice to meet you homie
Its moro town baby,,,shorobwenzi
Verse 1. (Stamina)
Elimika nyangema, maisha hayaendeshwi na nguo
Pesa ni vazi la mgema, haliwezi kuwa na mpasuo
Vaa uaminifu,tupa boksi la kondomu
Hip hop haijengwi na bifu,underground usijaze fomu
Maisha ni kujipanga, mganga usigawe irizi
Viongozi msizuie ganja, huku mnachukua ushuru wa rizz
Ridhiki ina kamba, ivute ili ikupe noti
Mkulima rudi shamba,dec mbegu siku hizi hazioti
Maisha njia panda,mtembezi chagua pa kwenda
Uchumi vazi la bwanga,ukishuka uvishe suspenda
Shiba kwa nia,ukiwa mlafi wa malengo
Usikufuru we shukuru ukifaulu kila tendo
Punguza pupa,mpendaji uingie ndoani
Mapenzi yamevaa bukta,uswazi mapaja hadharani
Usilale kijinga,kwenye kitanda cha ushamba
Unaweza kuwa shabiki wa samba,na ukaishi mwembe yanga

Chorus. (Fid Q)
Hiki kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la kuponya,lilokosa mdomo
Na hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe nasaha.
{hilo ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo wazo}

Verse 2. (Stamina)
Underground panga tenzi,ustar hauji kwa promo
Hakuna tajiri wa mapenzi,kapuku punguza ngono
Bora uitwe mfalme jua,kwenye utawala wa kishamba
Mapenzi yakikusumbua,tafuta daktari wa kitanga
Vazi unaloishi,mwenyezi yeye ndio disegner
Shetani akikushawishi, mvute kwake kama dayna
Dunia duara,jitahidi uizunguke
Mla bata starehe hasara,,wekeza hadhi isishuke
Huna undugu na bakhersa,niaje aje unakula unga
Mateja wanahitaji sensa,taifa la kesho linavunda
Dogo jifunze,heshima sio upaparazi
Mwambie na dada ajitunze,mlango wake asiuache wazi
Kama unajijua ni mchoyo,basi usingoje kupewa
Tafuta pesa kwa moyo,sio kwa ushindi wa ngekewa
Sharo mpe salamu,the great braza kanumba
Mwambie bongo sio tamu,na lulu bado wamemfunga

Chorus(fid q)
Hiki kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la kuponya,lilokosa mdomo
Na hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe nasaha.
{hilo ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo wazo}

Verse 3. (Stamina)
Utamu wa ndafu ya harusi,sio wa ndoa we kilaza
Mbuzi atabaki mbuzi,hata mle hadi mkasaza
Nchi tayari imekonda,mwananchi tafuta ulaji
Life ngumu hadi omba omba,kidonda anafanya mtaji
ukipata mazuri,jipange kuikwepa hasara
kijana vazi la msuli,haliwezi kukuvisha busara
ukiishi kwa hisia,kila stone litakubanza
cha msingi ni kuweka nia,ujivue kuwa mtanza
kata ya kijiji,haibebi maji ya maendeleo
katibu tunza mkwiji,msuli ukishuka kimeo
uchumi umeshika tama,kwenye shavu la mlanguzi
raia usilaumu chama,shiriki kwenye uchaguzi
unaweza ukavaa kinga,ila ukafa kwa uaminifu
mzinzi usigawe ujinga,sambaza ujumbe wasifu
hakuna snitch kama pesa,ukiwa nae fanya vya maana
akiondoka atakutesa,utamsaka usiku na mchana

Chorus. (Fid Q)
Hiki kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno la kuponya,lilokosa mdomo
Na hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha angaza utoe nasaha.
{hilo ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo vyako-{hilo ndo wazo}

UNAWEZA UDOWNLOAD HAPA
 
Jamaa analindwa na MAREKAN,teh,teh,teh,teh,teh, najua utakataa,lakin hautajiuliza kwann anaigusa serikali bila kuogopa
 
Miaka ya nyuma Dr Remmy alitoa wimbo...mambo kwa sox....ukapigwa marufuku......wazungu walipotuletea pesa za Mradi wa ukimwi wakaipa serikali.....ikaruhusu Kila redio na mabango semina na washa yahubiri kondom
 
....Ukweli utabaki as its is!
#Kuwa na maadui ili kukupa vyote sio lazima, lakini ni vizuri. Hasa pale unapokuwa unafurahia mafanikio na unajisahau na kujiachia."
 
mwislam gani unahonga bongommovies mamilioni, wakati mama anakufa mwaisela kwa kukosa drip ya quinine!
 
huyu Roma anataka sifa za kijinga sana sana....me pia sijawahi one kitu kipya kwake zaidi ya theme ile ile na kutaja majina ya watu maharufu apate sifa za kizushi! kwani nyimbo haiewezi kuhit bila kumtaja riz, jk au slaa?? mbona hamtaji Slaa anayechukua wake za watu au Mbowe aliyemjaza mimba mwanachama wa chadema? au yule boya wa Mwanga aliyebaka mtoto wa miaka 17 mbona hawataji humo???? dogo atapotezwa sana yani kawasema vibaya sana waislamu ngoja wazee wa uamsho wampate

"Wanajiuliza ni Wapi Dr Slaa anapata data na hata nikivaa mlegezo ikulu napiga chata,ikulu imejaa vibaka"-Roma
 
kimashairi roma sio mkari kiviiile....kuna dogo anaitwa One(Incredible) na mwingine anaitwa Songa.hawa vijana ni hatari sana ktk kupangilia mashairi kwa midondoko ya ki-hiphop.wacheki hapa wakiwa na Fid Q ktk Cheusi Dawa Tv.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom