It seems like you're addicted already!2026 sijaona mafanikio yeyote.imekuwa mwaka wa mateso kwangu sijaona kipya maishani. Kamari imeongoza kunifilisi nimepoteza mamillion ya pesa.nimebet nimecheza aviator nimekuwa kama chizi. Nimekuwa kama chizi,sifikirii hata kutafuta demu nawaza tu kamari. nimekuwa kama zezeta juu ya kucheza kamari. nimekataa utumwa wa kamari,hii ni maisha ya giza hamna mafanikio. nimekataa huu utumwa 2027 naanza upya bora nitafute njia nyingine ya kutafuta hela .i'm tired with this life....?
Wanasema kilimo hakina cash outIt seems like you're addicted already!
Not easy to break that chain!
Ukiingia kwenye kamari ni ngumu sana kuacha maana addiction yake ni kali na sheria zao zinaeleza kabisaWanasema kilimo hakina cash out