2026 FIFA World Cup - Special Thread

Zishahesabiwa na zitahesabiwa vizazi na vizazi wewe tia huruma tu🤣🤣🤣

Kwa mujibu wa tuzo,mataji,goal contributions na motm Messi ndio GOAT
Vizazi vinavyo husudu wizi ndio vita counter hizo tuzo kama ni legit.

Kwa mantiki hii sitegemei kukuona unaipinga CCM.

Kwasababu nayo inadai uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni huru & haki na mgombea wake alipata kura zaidi ya milioni 30
 
Vizazi vinavyo husudu wizi ndio vita counter hizo tuzo kama ni legit.

Kwa mantiki hii sitegemei kukuona unaipinga CCM.

Kwasababu nayo inadai uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni huru & haki na mgombea wake alipata kura zaidi ya milioni 30
Mbona umeshaanza kupaniki unahusisha mpaka CCM🤣🤣🤣
 
BREAKING | MESSI NAMED THE BEST PLAYER OF THE 2026

FIFA WORLD CUP BY 14 MAJOR MEDIA OUTLETS.

While FIFA officially awarded Rodri as the Player of the Tournament, 14 of the world's biggest football media outlets selected Lionel Messi as their Best Player of the 2026 FIFA World Cup.

The outlets include:

The Athletic. IFFHS

Sky Sports

The Guardian

beIN

Sports FOX Sports ESPN

Sports Illustrated

Goal Yahoo Sports

Bleacher Report

CBS Sports

The Daily Star

Tribuna

If someone still calls Messi "FIFA's boy," share this post with them and let

the facts do the talking.
 
Naimani hata Scars ulishangaa, why Rodri n not Lionel.
 
Naimani hata Scars ulishangaa, why Rodri n not Lionel.
Ndio nilishangaa lakini haikunushangaza.

Hii ndio sababu huwa sifagilii tuzo zinazotokana na kura.

Hiki tumekuwa tukikisema sana humu ila kwakuwa mara nyingi mnufaika wa huu upendeleo ni Messi, hamjawahi kutuelewa. Zaidi ndio mmekuwa mkituita hater na kutumia tuzo hizo kama sehemu ya kutamba kuonesha gape lake dhidi ya Ronaldo.

So yeah, Dwarf alikuwa na stats nzuri kuliko Rodri lakini FIFA wamekuja kumpa tuzo Rodri.

Sisemi kama Dwarf ndio alistahili kutwaa hiyo tuzo, ila ukifanya comparison kitakwimu kati yake na Rodri utaona namba zina mfavor zaidi Dwarf.

Lakini FIFA wao ni kama walifanya hivyo kwa kuangalia mechi ya mwisho na sio overall ya mashindano yote kiujumla.

Assist zaidi ya 400 kwenye career yake lakini kwenye fainali sio tu alishindwa kutoa assist, hata shot on target 1 ilimshinda.
 
Ondoa hzo tuzo basi, afu tuambie CR7 anamzidi nini Lionel messi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…