2026 FIFA World Cup - Special Thread

In case you missed all the angles he cried yesterday.

 
May all my Ronaldo fans never run out of gas when cooking Messi
 
Huwa nashindwa kuelewa baadhi ya watu wanaosema mimi nina chuki na Argentina pamoja na Messi.

Hawa ni wachezaji wa Argentina waliowahi kumfanyia mockery Kylian Mbappe kwenye World Cup ya 2022.


Tusisahau kwa wakati huo Messi alikuwa ni teammate na Mbappe tena kwa wakati huo akiwa captain wake kabisa huko PSG lakini alisimama akimuangalia Martinez akimdhihaki Mbappe bila kusema kitu.


That’s why the hypocrisy is so disgusting.
 
View attachment 3634472

Ni ndoto ya kila mwanandinga kushinda kombe la hadhi ya juu zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Ni vyema lakini kuweka na clarification inayoelezea stats za mchezaji ili umma upime ni kwa kiasi gani performance yake imekuwa na mchango wa kushinda kombe hilo.

Pedri amekuwa bench warmer for almost every single game of the entire tournament.

Kwa hiyo kwenye hiyo ndoto unayoisema l labda kama haitazingatia takwimu, iwe tu imerukia kwenye matokeo ya mwisho.

Na kwa msingi huo, kweli hiyo ni ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…