2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hayo ni maoni yako maana hata naona mafanikio ya Messi ni yake mwenyewe sio ya kupewa.

Sasa tuachane na maoni tuangalia uhalisia ambao kila mtu anauona ni kipi hicho extraordinary kimefanywa na Ronaldo?
Amepewa na hata hili pia ilibakia hivi



Apewe
 
Kweli tumerudi wenye roho mbaya pro. Hongera kwa ushindi wa dogo, I know we jana ulikuwa kotekote
kwa mara ya kwanza jana sikutaa messi afnge wala shinda nilitamani madogo wa spain wachuue bingwa.... i was so happy for them. vipi wewe uliangalia?
 
we kichwa mimi nilikua team spain kwenye WC nilikua nina team mbili tu na zote zimetinga finali....ila jana nilikua pande wa yamal sikutaka messi achukue coz hana nachomdai. i was so happy for yamal
HII IPINIWE PALE JUU "MESSI HUNA UNACHOMDAI" WAPENDA SOKA NA MASHABIKI WA MESSI KESI YAO ILIISHIA PALE QATAR
 
Hana pete ya world cup. Ushabadili gia angani🤣🤣🤣😂😂😂ndo maana alilia sana alijua tu mashabiki wake mtamkana mara tatu kama Yuda vile. Mwenzenu alitaka azindue pete mpya za FIFA nyie mnaleta nyimbo zilipendwa
we kichwa mimi nilikua team spain kwenye WC nilikua nina team mbili tu na zote zimetinga finali....ila jana nilikua pande wa yamal sikutaka messi achukue coz hana nachomdai. i was so happy for yamal
view once
 
So appealing yako ni kwamba unaweka sawa takwimu kuwa ilikuwa ni 6 touches na sio 5?

Okay twende na hizo hizo 6 ambazo umeona sio fair kumpunguzia 1 ambayo aliitolea jasho.

Kingine?
Shida yako ni kudogoisha anayofanya Messi na huku stats zipo wazi kuhusu duels zote na touches zaidi ya 50.
Wewe endelea kuokoteza unakokujua wewe.
 
Mashabiki wake wamemkana kabla ya jogoo kuwika
Goti haamini.
Binadamu wabaya sana
 

Attachments

  • PXL_20260719_223735678.MP.jpg
    1 MB · Views: 6
Kama ulikuwa haujui, hiyo ndio ilikuwa prime ya DeGea

Ndio kipa anayeshikilia rekodi ya kufanya saves 14 kwenye mechi moja na hapo usisahau 2017 ndio alienda mechi 18 bila kuruhusu bao.

Mind you hiyo ni EPL ambayo ni more intensively kuliko Laliga.
Spain walijikoroga kuchukua mtu anayetoka kwenye ligi ya kuumua watu kuzidi uwezo wao naona hata safari hii Raya kakaa mbao ndefu hawakurudia makosa.
Hakuishia kwa Ronaldo alikuja kuoffer tena goli kwa Messi. Komalia prime ya epl ilikuja kuonyeshwa matundu world cup.
 
Inamana huko duniani wanatoa maoni, ila facts unazo wewe, ebana upo vizuri sana mkuu
Nimekupa mfano rahisi sana.

Rodri kachukua tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia, mashabiki wengi wa Argentina wamepinga uhalali wa hii tuzo unajua kwanini?

Kabla ya fainali, Messi ndiye aliyekuwa akipewa nafasi kubwa kuchukua tuzo hiyo ya Golden Ball kwa zaidi ya 90%

Sasa kilichotokea.

Rodri amekuja kuichukua hii tuzo, na sababu kuu ambayo ipo wazi ni kwamba Rodri alicheza vizuri kwenye fainali kuliko Messi.

Hoja inabaki kuwa, je kuwa na performance nzuri kwenye game ya mwisho ya fainali ndio kigezo ambacho kinakufanya ustahili tuzo ya uchezaji bora ambayo inahusisha mechi zote?

And for some reason naona wanao hoji hivi wana logic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…