2026 FIFA World Cup - Special Thread

Huachii mashabiki wa pessi wapumue kidogo?
 
Nazungumzia ngazi ya juu kabisa ya soccer duniani, wc, sio ngazi ya kikanda hiyo upande wa ulaya, halafu mbona kama unamdhalilisha ronaldo? Ronaldo ni MCHEZAJI mkubwa sio wa kuzungumzia hizo level za euro na nations league, ronaldo inatakiwa tujadili ana magoli mangapi kwenye world cup na tuzo ngapi
 
Kwani kilichomfanya Messi atangaze kustaafu ilikuwa ni kombe la dunia?
 


Ikitokea hata tumepata mechi ya kwenda kucheza na majitu ya kutoka mwezini huko, hichi kikosi ndio kitatumwa kikaitetee dunia

Kama MCHEZAJI WAKO hayupo JITAFAKARI sana
 
Amegusia eti ronado ndio aliwatoa mavumbini ureno wakashinda euro na nations league
Hicho kitu ndio zaidi ya extraordinary kweli?
Vipi yule mchezaji aliyefikisha contribution ya zaidi ya mabao 100 kwa mwaka na hakuna aliyewahi kufanya hivyo zaidi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…