2026 FIFA World Cup - Special Thread

ila binadamu ni wanafiki sana, nimepitia hapa eti hakuna hata mmoja anayesikitika kabisa.
how comes leo watu wote wawe Spain??
 
ila binadamu ni wanafiki sana, nimepitia hapa eti hakuna hata mmoja anayesikitika kabisa.
how comes leo watu wote wawe Spain??
Jana nilisema hapa
Ukitaka kuona watu walivyo wanafiki na hawaipendi Argentina subiri ifungwe

Ndo unachokina sshv
Team spain since day 1 tunajuanq wale wa goat wamekumbia uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…