Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,928
- 141,883
Hawa jamaa wanapenda sana kupiganaNdo maana watu wengi walikuwa Wanataka Hispania ishinde!View attachment 3633185
Wangechafu sana hapa ,serikali ya israel walishasema wanamuunga mkono Argentina ..Ooh kumbe mambo yenyewe ndo yapo hivyo?
Kweli tumerudi wenye roho mbaya pro. Hongera kwa ushindi wa dogo, I know we jana ulikuwa kotekoteKuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Gen Z ndio walivyo, hawana adabu πππWale watoto ni nyoko aisee.. zinapigwa one two hadi unajiuliza mbona adabu hawana? Au kwao hamna wakubwa
Wapumzishe MkuuππZamu ya akina nani kukimbia uziππππππ
Wametoka NdukiZamu ya akina nani kukimbia uziππππππ
π€£π€£π€£π€£π€£
Dadeki nililala na mawazoooMbeleko FC chaaaaaaliiiii
TuliwaambiaaaaKweli tumerudi wenye roho mbaya pro. Hongera kwa ushindi wa dogo, I know we jana ulikuwa kotekote
Kula chuma hiko niko na rahaaaa