Anaweza akabeba balon dor nyingineRodri Player of the Tournament
Kushinda kwa kubebwa tuMessi kacheza fainali 3 za kombe la Dunia na kashinda moja.
Mpeni heshima kwa hilo.
…amefanya nini cha ziada?Nilijua young player anapewa lamine yamal
Hapana yupo mwamba ana 13 mkuu
Huoni Iran bado kasimamisha pembe?
ukorofi tuu😂Trump ana dharau anamwambia Messi asijali atampeleka Iran 😹
Sasa andunje analia nini? 😹
Centre bolt imekatwaMzee kaishiwa pawa 😂😂😂😂
Rodri kabeba tuzo za Mchezaji bora makombe yote muhimu walioshinda japo heshima kwa Bus…mjadala wa rodri vs sergio busquets umepata sura mpya
😹😹😹ukorofi tuu😂
Huko hajafikia, Kombe la Dunia linamtosha…rodri apewe na ballon dor
Ila wewe mwamba hufai umemkalia Messi kooniOooh Messi akikasirika anafanya maamuzi magumu.
Oohh isitokee mchezaji wa Spain akamkasirisha Messi atabadilika na kufanya kitu kibaya.
After 120 minutes "spare changes"
View attachment 3633124