2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kila mchezaji mkubwa duniani ana kombe la dunia kuanzia akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldo OG, Messi n.k

Tuwekee picha ya Penaldo akiwa na kombe la dunia hapa.
Mimi sio team Ronaldo nilikuwa zangu kwa ufaransa na Spain, kwa mbappe na Yamal hiyo labda uwaulize wenye chezaji lao.. 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…