2026 FIFA World Cup - Special Thread

Full Time
Spain 1 - 0 Argentina
Penaldo alitmani hata kushika nafasi ya 4 lakini uzee umejia vibaya.
MESSI 🐐 πŸ‘‘ πŸ”₯ atabaki kuwa ni all time GOAT 🐐 wa Kombe la Dunia.
Hadi wakati mwingine Mungu ni mwema tuonane 2030 MESSI 🐐 πŸ”₯ atakuwa amestafu. Dunia itakosa miujiza yake uwanjani.
Assalamualaikum BwanaYesu Asifiwe
 
Bora yetu sisi mashabiki tuliokuwa tunahama hama timu maana tumemaliza vizuri kuliko hao wengine wanaomaliza vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…