Dogo kafanya upuuzi katika nafasi muhimu kama ileKile amefanya Niko pale hakikubaliki.
Greatest Of All Time alikuwa anaweka gap kwenye analysis yake ya Top Scorer 🤣🤣🤣😹😹😹😹 Alooh
GOAT kakutana na mfugaji mwenye roho mbaya kapewa majani ya upupuUnaambiwa ametembea zaidi ya kilometa 60
Bila Mpira
Jamaa utadhani yupo kutalii
Halafu eti ni Goat😹😹😹