Sub ni 5 zinazofanyika mara 3,sijui umeelewa!Sub ni 5
Leo ni mastaa tuYaan kila aliye uwanjani kushuhudia mechi leo ni mdosi leo uwanjani hakuna maskini 😂😂 Wameingia wenye pesa tu
Uchawi gani watunwanaingia uvunguni kuokoa. Spain tu wanazingua wenyewe kwa nafasi wanazotengeneza. Lakini nawapa heko Argentina vile wapo makini kuokoa.Hili kombe wasipochukua Spain nitaamini Argentina wachawi
Uwezo ndugu!!! Uwezo.Mpango kazi wa Spain uko juu kiasi kwamba najuta kwa nini nilidhani France angechukua hili kombe mwanzoni. Hapo Argentina wanateseka sana. Kila mfumo umevurugwa jamaa wanabana hadi nafasi ya kuvizia
TIketi hadi usd 40,000Yaan kila aliye uwanjani kushuhudia mechi leo ni mdosi leo uwanjani hakuna maskini 😂😂 Wameingia wenye pesa tu
Au hata kwenye penati.Hawa Spain wasipokomaa washinde hii mechi ndani ya dakika 90, wanaweza kufungwa mechi ikienda muda wa nyongeza.
Ndio ikiwezekanaSi umesema unataka uachane na mpira
Yeah Wanawamudu tena vizuri sanaaaSpain ni kama vile wanawamudu Argetina...
Ikiwa Argentina wakifunga goli la utangulizi. Mfumo wa Spain unavurugika. Spain wanazubaa wanaleta ubishoo.Kwa leo siyo rahisi mkuu.
Umeona hiiYaan kila aliye uwanjani kushuhudia mechi leo ni mdosi leo uwanjani hakuna maskini 😂😂 Wameingia wenye pesa tu
Mashabiki wa Ronaldo leo kazi mnayo mchague upande wa Messi au YamalLamine Yamal sitakuongelea vibaya tena labda ikitokea El Classico ila sehemu zingine hapana leo umenikosha
View attachment 3632993
Kila la kheriNdio ikiwezekana