Uhakika wa nini?Una uhakika
Hapo poa.Sub ni 5
Pamoja na yote hayo shot on goal 1, bado unachkulia poa kuwa sio mipango.Kwa mazingira haya ArgentFifa akishinda basi kombe la dunia la msimu huu litakuwa limechukuliwa na timu dhaifu sana
View attachment 3632978
Stats za Baba na mtoto zinatia uchungu
View attachment 3632979
View attachment 3632980
Undava football, wanataka wawatoe mchezoni watoto wa SpainHawa wa-Argentina inabidi wapewe kadi. Huu wanaocheza siyo mpira.
Si umesema unataka uachane na mpiraUhakika wa nini?
Leo starter sio kufungwa.Hawaamki bila starter