MaminyooMi leo naangalia tu kiuno cha Shakira. Shakira akinipa haki ya nani sigusi tena mdada mwingine mpaka kifo.
SanaParedes fala sana
Wangekuwa kama Fernando Torres au David Villa au mtu kama Raul ingekuwa sawa.Nafasi wanapata ila sasa changamoto
Happy birthday..🎁Najua Sina changu,,Wacha niendelee kula cake yangu ya b day
Malatino hao!!!Waargentina hawa jamaa wanashida gani mbona wagomvi wagomvi
Hii mechi itaenda extra timeWangekuwa kama Fernando Torres au David Villa au mtu kama Raul ingekuwa sawa.
Ila kwa namna wanavyopiga mipira yao kupata goli ni ishu.
Argentina utawapita kote ila wakiwa golini kwao hawana masihara. Wanakaba mbaya.
Wanazingua sana aisee.Hawa Argentina kuuchezea mpira golini kwao itawacost sasa hivi.
Eti timu dhaifu. Watu wanamipango unasema dhaifu? Wapo fainali bado huwapi heshima yao. Mabingwa watetezi wapo fainali unawaona dhaifu. Acha mahaba ya mpira.Kwa mazingira haya ArgentFifa akishinda basi kombe la dunia la msimu huu litakuwa limechukuliwa na timu dhaifu sana
View attachment 3632978
Stats za Baba na mtoto zinatia uchungu
View attachment 3632979
View attachment 3632980