2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sorry waargentina wana zungumza kiispanish au kiitaliano ?
Kwa asilimia kubwa wanazungumza hispania ila asilimia ndogo ni kiitaliano.

Kwa asilimia kubwa Argentina asili yao ni Hispania na Waitalia.

Ndiyo maana wana ile kasumba wanajiona kama wazungu.
 
Spain wafanye wafanyavyo wamalize mechi ndani ya dk tisini au mia ishirini. Ila matuta Argentina anachukua,kwenye hizi hatua Dibu hanaga masihala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…