The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,959
- 117,332
Hizi hua ni kauli za vijana wa mitaa ya Madeira Portugal.Kuna time inapedelewa hapa na refa
Haya tukutane baadayeExactly haya mhenga shabikia wazee mie yankiiii kwa Messi π
Hizi hua ni kauli za vijana wa mitaa ya Madeira Portugal.
π₯Haya tukutane baadaye
Noma snWanatafuta namna gani wambebe hata kwa kipenati cha mchongo.
Dogo Yamal anaenda kuamulia hili 2nd half
Sawa filimbi ya mwisho itaamuaKujipa matumaini sio mbaya πΉ
Na kimessi kimeminywa mbupu hata sijakasikiaArgentina had sasa halftime no shoot on target or off target
Mbele ya taji la Dunia hata mwano unamkanaWashabiki wa messi leo mpo against na mtoto wenu mliomlea wenyewe
Mbona kinyonge sasa πΉSawa filimbi ya mwisho itaamua
Ni kama kawachukua msukule, ni kama wafuasi wa mwamposaWafuasi wake watasema siyo lazima ufike final ili uwe legend π
45min ?Leo mapumziko dakika 45 mpaka watu waimbe nyimbo zao wamalize, ila marekani ππ
Sijajua wametumia kigezo gani!!!Mapumziko dakika 30 duh Leo tunakesha Tenaπππ
Leo kama vile hayupo, hali ni tete, Lisandro naye kaona tabu ya nini nisije kupata red bure kaingia mitiniNa kimessi kimeminywa mbupu hata sijakasikia