Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,619
- 16,423
Museveni wa Portugal ana wafuasi waaminifu kweli kweli, pamoja na kutolewa lakini bado vijana wake wanampigia kampeni.Vijana wa Museven wa Portugal.
πππMbeleko
Wanambeba sana
Leo Yamal anawanyoosha Mbeleko FC
Wamedandia njiani itakuwa..Watu nimegundua hawakuona spain mech zilizopita
Haiwezekani kupikwa pamoja ππWewe naona hatupikwi chungu kimoja
Hii sasa imekaa vizuri π .Kumbe hadi wewe upo huku
Basi wewe ni twinπ―
Yule ndio basi tena, ila kazingua sana miaka yote hiyo hata kucheza final tuu?Museveni wa Portugal ana wafuasi waaminifu kweli kweli, pamoja na kutolewa lakini bado vijana wake wanampigia kampeni.
Exactly haya mhenga shabikia wazee mie yankiiii kwa Messi πHaiwezekani kupikwa pamoja ππ
DuuhMapumziko dakika 30 duh Leo tunakesha Tenaπππ
Messi anafunga au kutoa assist muda wowote uleπΉπΉπΉ Messi nguvu hamna leo.
Naona anapepesuka
Ndo maana mimi nataka niachane na mambo ya mpiraKwa utafiti usio rasmi watu wasiojihusha na mpira wala siasa hata kama wana hela ndogo huenda wana furaha sana
Pole sana πΉJirani haya mambo ya mpira unaweza kufia juu ya kiti aisee.