MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,877
- 5,878
Hadi sasa wanavyocheza wakichukua sina baya. Ila Argentina ni kama watu wazima flani swarming wanaweza kuwabadilikia hawa madogo muda wowote. Na wenyewe wanajua ndio maana wanakomaa hata wapate goli mapemaTwende na Spain
MbelekoHuyu Messi anachezea ustaa ila hajafanyiwa faulo kivile.
πΉπΉπΉBora ifike half time nipumzishe roho yangu.
Jirani haya mambo ya mpira unaweza kufia juu ya kiti aisee.πΉπΉπΉ
Watu nimegundua hawakuona spain mech zilizopitaSahahu jirani πΉ
Hivi madogo umeona mpira wao lakini?
Mechi inanipa presha hii....bora tupumue kidogoBora ifike half time nipumzishe roho yangu.
Kabisa, shida ya Spain anataka kubaki na kipa, njia ileileEwaaa!
Mtazamo wako ni kama wangu. Apige umeme tu mapema sana ubao unabadilika.
Kwa namna wanavyocheza, Argentina akipata goli Hispania kurudisha itakuwa mbinde.
Wewe naona hatupikwi chungu kimojaJana watu tulikuwa na mixed feeling kishenzi.
Mimi nilikuwa nataka england ashinde, lkn mess apate magoli mawili matatu ili amzuie mess kwenye buti ..ilikuwa tafrani tupuπππ
π Umeandika kwa uchungu sanaMi sina mtu naemshabikia
Ila leo napenda spain ashinde ...
Kitu kinanikera ni ile kuonekana mtu 1 badala ya team
Museveni wa Portugal ana wafuasi waaminifu kweli kweli, pamoja na kutolewa lakini bado vijana wake wanampigia kampeni.Vijana wa Museven wa Portugal.
πππMbeleko
Wanambeba sana
Leo Yamal anawanyoosha Mbeleko FC
Wamedandia njiani itakuwa..Watu nimegundua hawakuona spain mech zilizopita