Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,383
- 10,432
Ila yake uliyoyashangilia wewe ya Mbappe sijapendezwa nayoHakika nimeyaona kwa macho yangu ya nyama
Watu mnapenda kuumia bureAll in All...
Naitakia ushindi Spain
Kwanini sasa mkuuπIla yake uliyoyashangilia wewe ya Mbappe sijapendezwa nayo
Au sio ππMechi za mshindi wa tatu ziwage hivi. Kushambuliana tu tuone magoli. Ikiwezekana mabeki wasiwe wanachezaπ
Wallah yule babu ananizaaπ€£Daaah
Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini MessiKwanini sasa mkuuπ
Kwamba unang'ata mara mbiliHujawahi kunielewa wewe
Tusubiri na tuoneπ₯Amefikisha mabao 10 ila sio mbaya namuamini Messi
Mimi ni team Messi huko kwingine ni kutembea tembea tuKwamba unang'ata mara mbili
Ngoja tuoneSawa game ya usiku wa leo karibu kiti chako kipo mbele kabisa utasaidizana na uran kuleta burudani
Una maanisha nini mkuu?Hamna kitu humo
Messi asipopata kombe basi hata tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ipo .Goli la 10 Kwa mbape
Messi Haiii nakusalimiaπππ
Messi : camera wowo, andapacha wowo
Nilitaka kushangaa,mtu ambae ulisema kuwa unamkubali Ronaldo sababu ni Handsome,ana mapaja mazuri na mrefu,utashabikiaje Argentina.SPAIN wako anaenda kugongwa leo.Leo tupo Spain