2026 FIFA World Cup - Special Thread

Amkeni amkeni jamani๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐ŸšจNEW: The official Ballon d'Or account just released official confirmation that a player can win the Ballon d'Or while playing for a non-European club.
Kuna watu watalia na kusaga meno, watakonda sana kwa roho zao za wivu na ujinga.

Ballon d'Or ya 9 hii hapa.. GOAT damnn effects losalaaaleee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

#Hallelujah!!!
 
Ila maisha bana ๐Ÿคฃ.

Hii siyo AI. Ni picha ya kweli kabisa.

Hapo ni Messi akipiga picha na Lamine Yamal akiwa kama vile anamuogesha.

Nadhani ilikuwa mwaka 2005.

Jumapili wanakutana MetLife stadium kama ma superstar wa timu zao katika fainali za kombe la dunia 2026!

 
Correction:

Mkuu, Lamine Yamal kazaliwa 14/7/2007. Hivyo, hawezi kuwa 2005, labda picha ilipigwa 2007 au 2008 mwanzoni.
 
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ OFFICIAL: Slovenian Slavko Vincic will be the referee for Spain-Argentina, World Cup Final.

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Ref: Slavko Vincic
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ 1st Assistant: Tomaz Klancnik
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ 2nd Assistant: Andraz Kovacic
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช 4th Official: Adham Makhadmeh
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช Reserve Assistant: Mohammad Alkalaf
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ