Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,532
- 61,956
Lala unono mtani kwa hisani ya Lionel Andreas Cuticini MessiHaya jamani tukutane Final.
Mtani Greatest Of All Time ngoja nilale sasa ili kesho nikalijenge Taifa. 🤝
Hivi huo mwaka walishinda ubingwa?Unafikiri nachagua from nowhere mkuu?
England sijaichagua tu...
Ni timu yangu since 1998
Avatar yako ni ileile ya kijani kama chainiziNi kweli ila hapo pa kumuita GOAT Pessi itakuwa umenifananisha
Timu ya kwenye Magazeti, timu ya vyombo vya habari.Nawakumbusha England ni kama Taifa Stars...
Mataqo yenu shauri yenu
Sio mimi lakiniAvatar yako ni ileile ya kijani kama chainizi
Unasemaje mkuu?Ndo mpira wa kingereza huo,hata mexico alimiliki sana lakini aligongeshwa,na huyu argentina anagongwa leo,na fainali spain anagongwa......England wanataka matokeo hawataki showoff
YametimiaWatake wasitake wataachia tu😂 ni suala la muda
Leta takwimu mkuu.Dakika ya 70 messi hajapiga hata off target 😃😃😃😃😃😃
Ronaldo anastaafu soka kwa maumivu makali sana, yeye na mashabiki zakeWale wa Portugal migration tusikate tamaa hili kombe ni letu Spain watatuheshimisha
Ukiona hivyo ujue anatembea na nuksi mwiliniMzee nawewe leo upate hata Raha maana unabadili timu mpaka huruma
Imekula kwakeUkiona hivyo ujue anatembea na nuksi mwilini
Akileta kuna 600 yako ya pepsiLeta takwimu mkuu.