Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,457
- 13,834
Leo hutoziona mkuu... Hawana pawaTusisikie habari za kubebwa hapa.
Next time chagua timu ya maana na kwa mwaka huo huenda ikawa ni SpainHongera bana...
Hizi mechi za world cup this time zimenipelekesha sana
Ni kweli, England wamwtolewa kihalali kabisa.Muda wa Mbeleko fc umeisha
😂😂😂🙌🙌
Mipenati ya mchongo
Leo ni mwisho
Wewe mwanzoni si ulikuwa unamuita Pessi..Duh ndo maana mimi nilipunguza kushabikia mpira nimebakisha Yanga na Messi tu
Usilonge ukamala .Hii ni England msilete habari za Egypt hapa. Ukizungumzia England unazungumzia top 4 best international football club
Ni kweli ila hapo pa kumuita GOAT Pessi itakuwa umenifananishaWewe mwanzoni si ulikuwa unamuita Pessi..
Shida watu sijui wanachaguaje timu za kushabikia . Yaani unaletewa asali na uji, unachagua uji halafu baadae unaanza kulalamika mbona yangu sio tamu