2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sasa timu imeshika nafasi ya kwanza ulitegemea nini? Okay angeshika nafasi ya pili angekutana nani? au mngebadilisha maneno. Unashindwa kumfunga best looser wa Africa DRC, halafu unambeza mwenzio aliyeshika nafasi ya kwanza?

Hamna kilichopangwa, matokeo ya uwanjani ndio yamempa nafasi Argentina, maana angeshika nafasi ya pili basi angekutana na Spain,so anakula matunda yake ya nafasi ya kwanza.

Halafu mbona umeweka za Argentina, mbona za wengine huweki? Hao Uzbekistan na DRC kwenye Rank za FIFA wote wapo chini ya Algeria na Austria,sasa nani anayebebwa? Unakutana na Vigonza unavi chekea, mwenzako anavikanda, halafu unaanza kulalamika wakati uzembe wako mwenyewe.
 
Scars unapenda sana kulalamika, usijepata tu anxiety disorders...Mungu akunusuru shehe wangu
 
Mbappe yupo uwanjani wanatoka na sifuri
Pumbavu sana Mbappe
Alienda kufanya nini sasa?
Mkuu kwa ile mechi ya jana spain walivyocheza ni sahihi kumlaumu mbape?? Mtu unapigwa hangaisha jinga mpira unatoka hapa unahmie kule. Toka timu hazijafika robo niliwaambia humu kua france akikutana na spain basi kaisha coz wao wanategemea speed/mbio. Sasa Spain wao strength yao ni kukaa na mpira miguuni na wanakunyanganya fasta tu. Sasa mbape angefanyaje wakati walizidiwa kila kona, mpira hawaupati.

Mimi nakushauri anza kuangalia mechi za Barcelona na Madrid maana hicho ndio hua kinatokea kwa Madrid pia wao strength zao ni kukimbia na kupiga chenga. Barce wanamiki mpira na kupiga pasi milioni
 
Huu ndio utabiri wangu wa fainali itakavyokua. Mahaba pembeni naenda na Facts!

Leo ikitokea Argentina katinga fainali basi nafasi ya kubeba kombe kwa spain itakua ndogo sana. WHY??
Argentina wana sifa kama ya Spain ya kuweza kumiliki mpira sema wanachowazidi spian ni kua wana wachezaji wenye nguvu sana huku spain wengi wakiwa ni average. Hilo litawabeba tofauti na hapo itokee coincidence za kimpira. Hii mechi naiona ikifika dakika 120.

Ikitokea England kapita fainali basi Spain bingwa labda itokee maajabu ya kimpira tena. Kilichotokea kwa France dhidi ya spain sio Coincidence wanaojua mpira waliliona mapema. Mm na ulayman wa kimpira nililiona pia
 
Messi zidi ya Uholanzi Messi hakumkejeli mtu, bali alireact baada ya bench la Uholanzi kumzingua, so aulitegemea akae kimya?Okay kwani mchezaji akifanya kama alivyo fanya Messi zidi ya benchi la Uholanzi, refa huwaga anafanyaje?
Hakumkejeli mtu ila ali react, so ku react ni kufanyaje?




Kwa hiyo wewe mind reader, criteria gani uliotumia kumuona Infantino alikasirika baada ya Cape Vedre kuchomoa goli mbili?
Sio mind reader, ni facial expression

Wapi huyo Infantino aliyaweka hayo mapenzi yake wazi (Vizuri ukashare reputable sources).
Niliweka hapa clip yake
So kupewa penalty tano ndio kupendelewa?OK unaweza kushare hizo video tano za hizo Penalty kuonyesha huo upendeleo.

Siwezi kushea video zote 5, mimi nitaku pointia kaangalie penati aliyosababisha Di Maria kwenye mechi ya fainali.

Sijasema hela zilituumwa account ya FIFA

Nimesema FIFA walituma hela kwenye account ambayo hai link ya shirikisho la AFA. Ukiweza kuni quote vizuri tunaweza kuwa na mjadala wenye kujenga zaidi kuliko kulishana maneno.

FIFA ndiyo inayotoa na kuidhinisha malipo ya zawadi. Kisheria, FIFA ina idara ya ukaguzi (Compliance) ambayo inalazimika kuzuia fedha kwenda kwenye makampuni binafsi yasiyoeleweka.

Kwa FIFA kukubali kusaini na kutuma mabilioni hayo kwenye kampuni isiyo na uhusiano na soka siku chache tu kabla ya fainali, inaweza kuwafanya waonekane kama washiriki kwenye utakatishaji huo wa fedha.

Na tayari wasiwasi huu wa FIFA kuhusika kwenye hii kashfa unazidi kuwa mkubwa tukirejea baadhi ya matukio ya nyuma hususani kesi ya kocha wa timu ya vijana wa wanawake aliyewahi kushtakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia. FIFA walihusika kufanya covered up, hayo yote yamekuja kubainika baada ya nyaraka za siri kuvuja.
 
πŸ‘†πŸΌπŸ‘†πŸΌπŸ‘†πŸΌ
 
Mbappe yupo uwanjani wanatoka na sifuri
Pumbavu sana Mbappe
Alienda kufanya nini sasa?

Mnaacha kushabikia morocco mnakimbilia kwa wanariadha kisa eti timu imejaza weusi πŸ˜„ aibu gani hii!!

Germany out
Brazil out
Portugal out
Senegal out
France out
Cape Verde out
Netherlands out
Uswis out
Bado england yenu yenye rashfordπŸ˜„ ndio tumaini lenu sio! Au tunaenda na Argentina Saint Anne
 
Kwa hiyo unataka kusema katika miaka 17 ya kombe la dunia ni timu moja tu ya Argentina yenye bahati kuliko zote ya kula tunda la nafasi ya kwanza ambayo imewafanya mpaka wafike robo fainali bila kukutana na Giant wa top ten?

Na timu hiyo hiyo yenye bahati, iwe inaongoza kuwa favoured, iwe inamfanya hadi raisi wa FIFA apate mateso kuiangalia ikiwa inashambuliwa au kuongozwa?

Hata coincidence inatokea mara moja, lakini this sequence of events cannot be considered as coincidence.
 
Sasa wewe na CBC na mkweli na wameweka habari kamili.Halafu mimi nimekuwekea reputable source, wewe unaleta story za vijiweni.

Sasa hapo kosa liko wapi? Okay kwenye kanuni za FIFA Messi alivyo react anatakiwa kuadhibiwa kwa kanuni gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…