2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wajukuu wa Charles wakitinga fainali kelele zitakuwa nyingi kuanzia nje ya uwanja mpaka ndani ..
Kelele zao zitamalizwa ndani ya uwanja.

Ulaya timu inayoipa tabu Spain labda huwa Ureno hata Spain huwa anashinda kwa tabu ila Ufaransa kwa sasa ni uji tu mbele ya Spain mbona mechi ilikuwa wazi matokeo yake yanafahamika kabla hata ya game kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…