adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,589
- 7,769
Mkuu mipangoSpain wachawi sana
🥹 aibuuWakuu hivi nnachokiona ni kweli au naota🤔
Nimeusoma mchezo kipindi cha kwanza ,nimetoa ushauri humu , now siangalii tena game nakula pombe , kama hajafuata atapingwa kama ngomaSi kwamba Spain ni hatari?
Bado kabaki EnglandKuna watu wahamiaji wanapata tabu sana, kila wanapohamia matanga😅😅
#Hallelujah!!!
Hujui kinachoongelewa Mkuu si ndio kelele za pande fulani😀😀Kwamba Nan abebe?
Umebeti?Tunahitaji goli 3 kabla ya Dk 90
Leo hata sielewi wanachokifanya.Zungumzeni sasa nyinyi mashabiki gundu wa Ronaldo na michezaji ya kiafrika. Goli la IQ kubwaa sana. Nyani Ngabu amka kaka uje kuwaona hawa wafaransa weusi.
Leo wanaoga nyingiUfaransa imeingia kwenye mfumo
Mnao bet sitaki pesa zenu, nawakumbusha kwa mara ya mwisho, wekeni hela hapa mje kunishukuru tu...Fainali itakuwa ni
Argentina vs Spain
WC atabeba tena Argentina
Naona upumbavu ukiendelea uwanjaniShesRise_1 njoo hapa