Kwahiyo bwashee england inakupa raha?Ngumu sana
😃😃😃😃 ShesRise_1Kwahiyo bwashee england inakupa raha?
Tungojee magical momentMechi ishaisha hii. Norway hawaleti matumaini
Kwasasa anahudumia ndoa wajua bwana ake alikua shabiki wa brasil
Watake radhi england kwa kuwafananisha na Taifa stars 😂😂Tatizo Inglandi ni kama Taifa Stars, wekeni akiba ya maneno usishangae wanaenda matuta wanatoka
Jini amepatwa na nini leo, maana ndio kwanza naamkaAlianza kuchechemea mapema sana.
Ni kama vile alikuwa anaforce tu.
Haaland ni kama Lukaku anasubiri dead ballHalaand out...alionekana mapema sana.
Haumudu mchezo