2026 FIFA World Cup - Special Thread

Unaweza kuniambia kwanini Gianni Infantino aliteseka pamoja na mashabiki wa Argentina wakati wa mechi dhidi ya Cape Verde?
Hakuteseka bhana alafu Infantino kahudhuria mechi nyingi tu za kombe la Dunia na huko kaonyesha 'reaction' za hapa na pale ila nyie 'Messi haters' mmeamua tu kukomaa na hizo nadharia njama.
 
Vp wajukuu wa Mfalme Charles unawapa nafasi leo?..
Honestly sijawahi kufurahishwa na performance ya Norway jinsi inavyocheza.

Ila Haaland kule mbele amekuwa m-deadly sana kiasi kwamba anaweza kufunika madhaifu ya timu yake ikiwa atapatiwa cross mbili 2

 
Exposing Messi and Argentina is my hobby❌

Exposing fraud, robbery, corruption, money laundering ✅


Your browser is not able to display this video.
 
Mashabiki wa Ronaldo wapo kama mashabiki wa Simba wana akili finyu sana. Na huyo scar ni shabiki wa simba pia, simba wanaamini kila mechi yanga anayoshinda kanunua mechi. Hadi ile mechi na Beruizidad wanaamini yanga walininua. Aisee. Their stupidity is Uncontested
Kuna mtu anaitwa Kipenzi Changu ni mfano sahihi ya jinsi shabiki wa simba ni stupid to the bone

 
Leo tena wajukuu wa kikongwe penaldo jiandaeni visukari na presha kupanda, mtapasuka na chuki zenu.
GOAT 🐐 MESSI leo anabebwa na atabebeka vizuri kabisa, yaani hii inaitwa ukinuna unapigwa ukijichekesha unapigwa.
Penaldo saahizi yupo ananyonyesha watoto huko putugo
 
Nimeshangaa kuona huyu dogo amechukua tuzo ya Man of the match


Nilitaka kurudia maneno yangu yale yale lakini nilipokumbuka hili tukio la huyu producer ambaye ni raia wa Argentina Bizzarap, nabaki najiuzlia kwanini nyinyi hamtaki kukubaliana na huu ukweli?


Huyu jamaa alipewa jukumu la kumkabidhi tuzo mchezaji bora wa mechi, kwenye mechi kati ya Argentina na Egypt.

Shida sio kumkabidhi tuzo, shida ilikuwa ni maneno yake aliyoyaongea baada ya kumkabidhi tuzo alisema "Waliniambia tangu jana kuwa ilibidi nimpe tuzo hii Messi."

Then baadaye alivyostuka kuona amezingua akaja kusema "Au kwa yeyote atakayekuwa mchezaji bora wa mechi."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…