2026 FIFA World Cup - Special Thread

Argentina kila katimu kanampelekea moto na kwesho kaz anayo
 
Argentina kila katimu kanampelekea moto na kwesho kaz anayo
Hahaha nitakua hapa kesho kukushuhudia ila sitokushika sikio nitakuacha uropoke yote kabla ya kufunga mdomo wako

Kwanza kabla kesho Argentina hajamfunga Switzerland na kutinga Nusu fainali una lolote la kusema? Sema leo kabla ya kesho isije ikafika kesho ukaishiwa cha kusema
 
Hao moto lazima wapelekewe kama egypt ya Afcon imempelekea moto kiasi kile ww unategemea nn
 
Mwanze mara ngapi wakati tulishawabonda mara nyingi tu

2025, tuliwabonda 5, yamal aliscore 2
2024, tuliwabonda 2, lamin na olmo

Sisi wanaArgentina tulishawabonda tukaondokanalo😄
Tulieni viboko viwaingie, mnapelekewa moto hadi na timu za Afcon na mkishinda mnashangilia balaa maana mmetoka kwenye bonde la umauti😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…