2026 FIFA World Cup - Special Thread

Endelea kumbonda maana naona kama anatikisika hivi huenda yuko hai..
 
Uandishi wako unatia uvivu kusoma, uwe unaweka paragraph basi.

Sio timi au mchezaji mwingine, we taja tu Messi usipige kona kona kama gari bovu.

Hapa mchezaji naye mkusudia ni Messi amekuwa akipewa favor kwenye timu zote alizocheza.

Hata leo imebaki kuwa ni controversial kwanini Gianni Infantino aliialika Inter Miami kwenye FIFA Club World Cup.

Tukisema tuanze kuchambua hapa upendeleo wa Messi na robbery zake plus corruption nakuhakikishia tutayoyakuta ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…