2026 FIFA World Cup - Special Thread

W
Mnaanza kuchambua kunde sasa sio mpira
 
Kwa hiyo Pessi fans wataanza kujadili swala la refa kumaliza mechi bila lawama.

Ni kama hata wenyewe hawakutegemea mechi kuisha hivi kwasababu wanajua isivyo rahisi kuwa against Messi ukiwa ni m Argentina.

So walisubiria sana hii itokee ili wapate cha kusema.

Go to hell
 
Raha sana JF, asante sana kwa furaha hii
Kuwa humu tunabishana ni kama tuko banda umiza yaliyotukuza
Wengine wazazi tunaangalia mpira na familia hatuna nafasi ya kwenda kwenye vilabu
 
Naona kabisa Mbappe anaenda kubeba hii wolrd cup... afu Ufaransa inaenda kuweka record ya kucheza final tatu za world cup mfululizo

Hii record ilikua inashikiliwa na Brazil
Itakuwa ni rekodi ya Brazil na Germany.
Germany.
1982 vs Italy
1986 vs Argentina
1990 vs Argentina.
Brazil
1994 vs Italy
1998 vs France
2002 vs Germany
 
😁😁😁unajitahd sana kutengeneza hoja za kipuuziπŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…