We juzi unashangilia argentina atolewe ulitumwa na GOAT mbuziSiku zote nipo upande bora
Huenda wanajipanga kufanya mambo makubwa kipindi cha pili.Hata mimi naona, morocco imekua ya kuzuia kweli, mashambulizi hatuyaoni.... sijui kama hawakuuza mechi hawa... hata furaha ya kuangalia imepotea
AlbadruWaarabu wameenda kusoma nn ile???ππ
Alimuonyesha kipa anapopiga
uran hivi huyu unamuelewa kweliWe juzi unashangilia argentina atolewe ulitumwa na GOAT mbuzi
Kipindi cha pili wanasoma Ayatul Kursiyu na Al fatha shughuli inaisha mapemaWaarabu wameenda kusoma nn ile???ππ
Iwe hivyo broHuenda wanajipanga kufanya mambo makubwa kipindi cha pili.
Ufaransa inatosha kule mbele mkianza kushambulia kwa pupa mtalia
France waombe wasikutane na Spain. Kwa mpira wao wanalizwaMorocco nnayoijua mimi mpaka half time angelikua anaongoza umiliki wa mpira, ufaransa ni bahati tu huwa inawaijia ila kimpira morocco wako vizuri
Tulia mzee angalia kabumbuπ€£Inawezekana maybe.
Hapa angekuwa anacheza na timu nyingine out Africa, Norway na England ningewashabikia pia.
Haya mambo dunia ya kupiga faulo na kuingia kambani anaweza MESSI π pekee
Bono ni kipa na leo yuko kweny formKwa kewli ufaransa hii mechinakipoteza atajilaumu mnoooo.
Hawa waarabu leo ni kujibonyezea kizenji tuu mdebwedo.
Jambo moja france wamenifurahisha ni kuwa wamwjua bono akipiga mpira anawapatia wapinzani kapiga mipira minne yote wapinzani wanapokea tuu.
Haya hawa jamaa wanapata fk wanapiga mpira nje unabaki unashanga....inakuwa kama tunaangalia nbc bwana.
Ila hawa france wanawezapata goli kwenye set piece...kila mpira wa kwanza wanapata wao
πππππKipindi cha pili wanasoma Ayatul Kursiyu na Al fatha shughuli inaisha mapema