Timu Ureno tujuaneπ FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum.
2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano.
π Waandaaji
Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na:
United States
Canada
Mexico
Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na nchi tatu kwa pamoja.
π₯ Idadi ya Timu
Timu 48 zitashiriki (badala ya 32).
Jumla ya mechi zitakuwa 104.
Hii ndiyo World Cup kubwa zaidi kuwahi kufanyika.
β½ Mechi ya Ufunguzi
View attachment 3586820
Mechi ya ufunguzi itachezwa katika Estadio Azteca, Mexico City.
Uwanja huu utaweka historia kwa kuwa wa kwanza kuandaa mechi za ufunguzi za World Cup mara tatu (1970, 1986 na 2026).
ποΈ Fainali
Fainali itachezwa tarehe 19 Julai 2026 katika Uwanja MetLife Stadium, New York City.
Thread Hii Itahusu
Ratiba na viwanja
βTimu zilizofuzuβTakwimu na historiaβHabari muhimu za mashindanoβMjadala wa kila hatua hadi fainaliKaribu kwenye special thread ya FIFA World Cup 2026 Finals! ππ
Kumbe Hawa jamaa wana watu kabisaKikosi cha Japan
Ratiba yao itakuwa hivi;
π³π± Netherlands | June 14
πΉπ³ Tunisia | June 20
πΈπͺ Sweden | June 25
View attachment 3589860
Hili kundi tamu Hawa hait nao hawataingia kinyongeKikosi cha Haiti
Ratiba yao itakuwa hivi;
π΄σ §σ ’σ ³σ £σ ΄σ Ώ Scotland | June 13
π§π· Brazil | June 19
π²π¦ Morocco | June 24
View attachment 3591155
muda wa kukesha popoNapenda kujua muda wa hizi mechi kuanza kwa saa za huku kwetu E.A.
Timu Ureno tujuane
Hao forwads wana balaa sana, wananipa kiwewe na timu yangu England ila hakuna noma, muda utaongeaView attachment 3592262
I love this...
Sio mchezo, nafikiri ndio timu yenye washambuliaji hatari zaidi.Hao forwads wana balaa sana, wananipa kiwewe na timu yangu England ila hakuna noma, muda utaongea
Mayele, mwana YangaView attachment 3592280
Ndugu zetu hawa.
Hapo kwa FRANCE is possible.Mshindi wa WC 2026 ni France au Portugal.
Mayele?View attachment 3592280
Ndugu zetu hawa.