SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,218
- 1,752
Mpaka amtoe Morocco ππBingwa ni France
MmebebwaHaya mliokuwa mnasema mechi iishe mtupike, ukumbi ni wenu karibuniβ¦
Nasema hivi tumezingua kwa hali zote.
Ujinga wa Misri umeanza kipindi cha kwanza..
Nisingeonekana hapa jukwaani mpk fainalSipati picha mngetolewa daah
Ameeen and ameeennnnBingwa ni France
Na sisi ndiyo tuko...Haya mliokuwa mnasema mechi iishe mtupike, ukumbi ni wenu karibuniβ¦
Mmebebwa
Nenda na wewe ukabebwe.Mmebebwa
Wakubwa waheshimiwe ππ
Bro tokea mpira unaanza ni mimi na wewe tulikua Argentina wengine wote walikua upande wa asalamalekoooAna ufala sana