Khaaa ndo umekuja 🤣🤣🤣🤣Fifa president leo sijamuona au hayupo?
Uzuri zote ni timu zanguYatakushinda kijana nakuahidi
Naona kama ameumia hivi. Wamezingua.Halafu wamemtoa
Haisen Hasan beki matata na muanzisha mashambulizi yaliyozaa magoli yote ya Misri amekwenda bench!Waarabu washaanza kuchoka
ShenziiiiUzuri zote ni timu zangu
Mzee ushapanic mara hii 😂😂😂 rudi zizini bwana GoatHuna akili
Wapo wanaandaa mabomu ya kulipua humu jamvini ...kuna watu wanatamani mechi iishe hata sasa ili watupike.
Pikeni mnavyoweza ila tumebeba kombe historia itatukumbuka hivyo
Siwezi panic kwa vitu vidogo mkuu ila ukiidharau Africa na ndipo unapotokea huna akili mkuuMzee ushapanic mara hii 😂😂😂 rudi zizini bwana Goat
Leo nitakesha humu kama Mirsi ikishinda , yule jamaa mlevi Comredi Kipepe mwenye chuki na Waarabu atanikoma humu , nitatafuta risiti zake zoteKmmk leo kazi ipo
Dah😂😂😂Leo nitakesha humu kama Mirsi ikishinda , yule jamaa mlevi Comredi Kipepe mwenye chuki na Waarabu atanikoma humu , nitatafuta risiti zake zote