Ndio waumie itakuwa nzuri.. itanyamazisha kelele wanazopiga za CR7.Wapare wanakuchora tu kwann wapareee🤣🤣🤣😂😂😂. Tatizo huyu waargetina atawaumiza mashabiki wake vibaya sana,wana kamdomo sana. Babe mpya olise kaibuka natamani aje Real Madrid
Mkuu leo mnarudi nyumbani,Hawa Misri tunawafunga vizuri sana, hatuhitaji mashabiki dhaifu
Usijali mtani, hii mechi tunashinda bila wasiwasi japo huyu kipa wa Misri ana sifaTuko nyuma kwa bao moja.
Na hapa mie we ndo nakutegemea ujue 😉 kwenye kujibu haya mashambulizi.
Amesema waongeze 1Kwani si wanaongoza ama?
Maneno haya si mageni jijini, labda kwa mgeni wa jijiMkuu leo mnarudi nyumbani,
Pole mkuu.Naangalia kupitia simu Kaka
Airtel leo nimewapigia wamedai eti nimefikia data cap na bundle nimeunga tarehe 19
View attachment 3624382
Vipi mshachomoaKuchomoa gori
Sijui😞Amefunga?
Unaweza usishangilie do it now.Nasubiria dakika 90 ziishe nianze kushangilia
View attachment 3624383
Umetumwa au?Vipi mshachomoa
Au muda haujafika?
Sawa mda utaongea.Hapo mbele kuna De Paul na Alvarez ndio wasumbufu. Messi bado hajashika hatamu.
Messi anaweza tolewa na mechi ikabaki tamu vilevile na Argentina wasiwe na pressure.
Yeah ila leo mtoto wake kam disappoint sanaAtafanya jambo?
Huyo mbuzi wenu leo atajikuna pua sana lakini akae akijua anarudi nyumbaniManeno haya si mageni jijini, labda kwa mgeni wa jiji
Usijali, mjadala wa Mbuzi ulishafungwa...😃😃Ndio waumie itakuwa nzuri.. itanyamazisha kelele wanazopiga za CR7.