Lamine Yamal might be the biggest Ronaldo fan you know, but he can’t express as he plays for Barcelona.
Acheni kujipendekeza kwa Yamal hamkubali Ronaldo wala nini. Amefanya hivyo ili kuuza sura aongelewe. Naona mnataka kuhamia upande wake
View attachment 3624149
We kichwa hatukutaki baki hukohuko bondeni kwenye majonzi. Team messi sisi ni furaha tu hapo Yamal anamgonga tu kufanya aongelewe ila hamkubali wala nini
Tumeona wachezaji wengi waliowahi kucheza Barcelona waliokuwa wakisema idol wao ni Messi.Acheni kujipendekeza kwa Yamal hamkubali Ronaldo wala nini. Amefanya hivyo ili kuuza sura aongelewe. Naona mnataka kuhamia upande wake
View attachment 3624149
Ukishakuwa mchezaji wa Barcelona swala la kumkubali Messi linakuwa ni swala la lazima.Its true fact. Clip nyingi anazopost zinaonyesha mdogo wake akishangilia ki ronaldo zaidi
Mimi ni Mancunian haswa, team ninayoipenda zaidi duniani ni Man Utd ila kwenye GOAT nipo kwa Messi.Ronaldo alipendwa Sana Ila ukichunguza Hadi mashabiki wa Manchester na Madrid wamemgeuka kwasabab ya Ego
😄😄Heheheeeee hukosagi sababu . Afu unasema humdai kitu, tunamdai kombe la dunia
View attachment 3624112
Lazma?Yes, naona kabisa Argentina anamfunga Egypt na Colombia atamfunga switzerland...
Colombia na Argentina wakikutana lazima argentina arudi nyumbani
Mkuu bado unaendeleza ViolenceTANGAZO KWA UMMA
Sisi kama mashabiki wa Messi na Argentina tunatangaza rasmi kuwa mashindano ya World Cup 2026 yameisha jana baada ya Mbuzi Pori kufurushwa mashindanoni.
Hata sasa tukitolewa hatutakuwa na deni maana lengo letu limetimia kwa Mbuzi Pori kutokuchukua taji la mashindano haya.
Tunawatakia mabaya yote mashabiki wa Mbuzi Pori watakaokuwa wanahamia kwa Mbappe kimya kimya.
Imetolewa na Mashabiki nguli wa Messi na Argentina.
View attachment 3624185
Umeamua kuiconvect to personal 😃😃😃Proved Muulize comrade_kipepe tangu ameanza kuwachukia waarabu amepata faida gani??? Akiwachukia, akiwabagua na kuonyesha roho mbaya haiwapunguzii chochote,, kama ni hela wanazo, sasa ukiwasusia ama kuwachukia itakusaidia nini 😄😄
Mwanaume unaonyesha hisia kwa mwanaume mwenzio kweli!!!! hahaaaaa aibu gani hiyo!!!
Mwilage lolo mami
Mpaka waache mdomo😂Mkuu bado unaendeleza Violence