Tokapa unanipotezea mudaUmeanza kuchanganyikiwa sasa π€£ kuchukua WC ni bonus??? Hilo kombe sio NBC ujue, sio UEFA.
Hilo kombe hata mchezaj akikaa benchi tu wakati wa michuano basi ataji feel proud.
Nikuambie tu 2030 Ronaldo atarudi kwenye haya mashindano akiwa kama coaching staff au technical bench au mhamasishaji ili tu aone kama ataweza kubeba kombe
Hivi GOAT ni kwenye nini hasa?Mashabiki wa Manchester ndio sisi, mtu yeyote aliyemgeuka GOAT huyo ni mamluki.
Chini ya pajaHivi GOAT ni kwenye nini hasa?
Mtimue kabisa mkuu anakuchosha bure tu na wakati una huzuniTokapa unanipotezea muda
Ronaldo ni goti au sio?Chini ya paja
Kwanini?Kati ya timu ambayo inatakiwa itolewe mashindano yafanyike kwa amani ni hao Marekani
Uwezekano upo. Na kama hawataweza basi france akikutana na Spain ndio mwisho wakeMkuu unahisi Morocco ataifunga France?
Ronaldo ni goti au sio?
Nimekuelewa..hawataweza
Hivi mkuu hizi habari zilikuwa na ukweli wowote
Mwanafalsafa mmoja anaitwa Machiavelli alisema "The end justifies the means".
Hivi mkuu hizi habari zilikuwa na ukweli wowote
View attachment 3624019
Mwanafalsafa mmoja anaitwa Machiavelli alisema "The end justifies the means".
Mjadala wa nani ni bora zaidi umehitimishwa na Matokeo ya mwisho...
Hujanijibu lakini naona umeleta propaganda tuπ€£