2026 FIFA World Cup - Special Thread

Pamoja
 
Asante kwa Mtazamo wako.
Ila mimi naitakia timu ya Norway ushindi mzito
 
🧤 Je, Vozinha Ndiye Kipa Bora wa Kombe la Dunia 2026 Hadi Sasa?


Baada ya maonyesho makubwa ya kipa wa Cape Verde Vozinha, mjadala umeibuka kila sehemu.


Baadhi ya mambo yaliyowafanya watu wamzungumzie ni:


✅ Amefanya save nyingi muhimu dhidi ya timu kubwa.


✅ Ameonyesha utulivu mkubwa akiwa langoni.


✅ Ameisaidia Cape Verde kufika hatua ambayo wengi hawakuitarajia.


Lakini swali linabaki…


Je, kweli ndiye kipa bora wa Kombe la Dunia 2026 hadi sasa?


Au kuna makipa wengine waliocheza vizuri zaidi?


Wewe unamchagua nani?


🇨🇻 Vozinha


🇦🇷 Emiliano Martínez


🇧🇷 Alisson Becker


🇪🇸 Unai Simón


🇲🇦 Bono


Au kuna mwingine?

Kusoma zaidi ingia hapa
 
Cristiano Ronaldo is confronting a hater

Ronaldo's hater from JF one of your fella was cooked today
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…