Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
“Tulifanyiwa fitina kutoka kwenye uongozi wetu. Hotel mbaya. Chakula kila mtu anajitegemea tunakula migahawani wengine wakiagizia kwa delivery. Tulikosa morali tangu mechi ya kwanza. Uongozi umetuhujumu na wananchi walijue hilo”View attachment 3620558
Nyie watu sijui kwanini mnakua na chuki na morocco, ufaransa alivyopata shida kwa paraguay, sasa kwa morocco ndio ataweza! Wana bahati wameshinda kwa penaltKwa France hii ilikuwa mechi rahisi na ngumu kwa wakati mmoja. Morocco ajiandae kunyolewa.