Kumbe ningefanya makosa kushabikia South Africa, basi Leo nipo Mexico nilisahau kabisa kuwa SA hawapo na na sisi , Asante kwa kunistua Mkuu.Leo nipo upande wa Mexico
Sitaki kuishabikia South Africa coz wenyewe wasije kusema nachukua kazi zao.
Vamos Mexico.
Leo nipo na mdau....nione fullback ya mpira inavyopiga sliding tackle hatari yule sii mchezoKabisa Mkuu na uzalendo pia.
teh teh teh eti kudinyana.Huku atlanta sii ndio nasikia ngoma imejaa tele....aisee watu wawe kamini na kudinyana huko
our fellow africansMie nipp na mdau leo
Sasa raha ya dunia sii kudinyana na kucheki fabo mkuuteh teh teh eti kudinyana.
Safi tuu wasije wakatulipua bureIRAN oooomygod ameondolewa