2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1000796838.jpg
 
wakuu hawa sauz walikuwa wazuri sana kwenye kufunga mipira ya mizago kwenye afcon so ebu tuone huku kwa wenyewe kujua soka watafanyaje.
pia huyu kocha wao alinifurahisha sana kwenye afcon alikuwa alembi wa kucheka na mchezaji. yeye ndio alikuwa kocha ambaya anafanya sub zake mapema tuu na zilikuwa zinazaa matunda.
 
Back
Top Bottom