2026 FIFA World Cup - Special Thread

Magoli ya chrstiano Ronaldo ya timu za Taifa karibu asilimia 90 amezfunga hizo timu

Macedonia
Bosnia
unzbekstan
fao island
island
visiwa vipo Ving Sana vyenye hadh ya fifa ulaya ambavyo mpira hucheza baada kumaliza kuvua samaki
 
Elewa muktadha.

Sijazungumzia magoli aliyowahi kufunga akiwa na timu ya Taifa.

Nazungumzia idadi ya magoli aliyofunga kwenye kombe la dunia akiwa na timu ya Taifa.

Na hata hivyo bado takwimu zako zimejaa upotoshaji.

Mechi ya Portugal Vs North Macedonia Ronaldo hakufunga.

Na mind you haikuwa kombe la dunia ilikuwa ni mechi ya kufuzu. Unless unioneshe hiyo mechi ambayo wewe unaisema maana rekodi zinaonesha ni mechi 2 tu ambazo walikutana huku hiyo moja ikiwa ya kirafiki na iliisha kwa sare ya 0-0

Nikija kwenye mechi dhidi ya Bosnia nayo haikuwa michuano ya World Cup bali ni Euro tena katika hatua ya kufuzu

Faroe Islands zote mechi mbili wamekutana na Portugal kwenye hatua ya kufuzu.

Kwa hiyo hoja yako inabaki kuwa ya upotoshaji.
 
Magoli ya chrstiano Ronaldo ya timu za Taifa karibu asilimia 90 amezfunga hizo timu

Macedonia
Bosnia
unzbekstan
fao island
island
visiwa vipo Ving Sana vyenye hadh ya fifa ulaya ambavyo mpira hucheza baada kumaliza kuvua samaki
Mwanzo ulijificha kwenye kichaka cha "mi mtu wa mpira sina mapenzi na timu wala mtu"

Ila kadri ninavyo mu-expose Messi unashindwa kuvumilia na kujaribu kujibu mapigo.
 
Hapa kuna mmoja anaondoka na world cup
 
Attachments

  • file_0000000063dc71f48d61fbd073b7ea80.jpg
    322 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…